Wilcom Embroidery Studio Kuanzia Sifuri Mpaka Kuuza Design Online
About Course
Hii ni kozi ya vitendo itakayokufundisha jinsi ya kutumia Wilcom Embroidery Studio kuanzia kiwango cha mwanzo kabisa hadi kuwa mtu anayoweza kutengeneza embroidery designs na kuziuza online au kwa wateja wa moja kwa moja.
Katika kozi hii, hutajifunza theory tu utajifunza kwa vitendo jinsi ya kugeuza picha kuwa embroidery design halisi inayoweza kusomwa na mashine za embroidery.
Utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya:
- Kuelewa msingi wa embroidery digitizing bila kuchanganyikiwa
- Kutumia Wilcom kuanzia interface hadi tools muhimu
- Kubadili logo au picha kuwa embroidery design ya kitaalamu
- Kuchagua aina sahihi za stitches kwa kila design
- Kuandaa design tayari kwa mashine ya embroidery
- Kuuza embroidery files zako online na kupata kipato
- Kujenga portfolio ya kazi zako za embroidery
Kozi hii imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili hata mtu ambaye hajawahi kutumia Wilcom aweze kuelewa na kuanza kufanya kazi haraka.
Baada ya kumaliza kozi hii, utakuwa na uwezo wa kutengeneza embroidery designs zako mwenyewe na kuanza kuzitumia kama chanzo cha kipato kupitia freelancing, biashara ya mitandaoni au kushirikiana na mashine za embroidery.
Course Content
MODULE 1: MAFUNZO YA MSINGI YA EMBROIDERY DIGITIZING
-
Lesson 1.1: Embroidery Digitizing ni nini?
-
Lesson 1.2: Aina za embroidery files
-
Lesson 1.3: Vifaa vinavyohitajika
-
Lesson 1.4: Jinsi biashara ya embroidery inavyopata pesa

